Mwili wa marehemu Erasto Msuya mmiliki wa SG hotel baada ya kupigwa
risasi zaidi ya sita na watu wasiojulikana na kufa papo hapo.
Askari wakichunguza tukio la kupigwa kwa risasi kwa mfanya biashara huyu.
Mwili kulia mara baada ya kupigwa risasi na kulia ni gari la kifahari aina ya Ranger rover eneo linalodaiwa kupigwa risasi mfanyabiashara huyu.
Habari zilizotufikia hivi punde Kutoka chumba chetu cha habari zinaeleza kuwa mmoja wa Wafanyabiasha wakubwa wa Madinijijini Arusha aliyejulikana kwa jina la Erasto Msuya na pia ni mmiliki wa SG HOTEL mkoani humo, amepigwa risasi zaidi ya sita na watu wasiojulikana na kufa papo hapo.Habari zinaeleza na kubainisha zaidi kuwa Marehemu alikuwa akitokea KIA kwenda BOMA ambako alikuwa ameitwa na watu
(ambao hawakujulikana mara moja) ili wakafanye biashara. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi-Amen.Habari zilizotufikia Kutoka chumba chetu cha habari
zinaeleza kuwa mmoja wa Wafanyabiasha wakubwa wa Madinijijini Arusha aliyejulikana kwa jina la Erasto Msuya na pia ni mmiliki wa SG HOTEL mkoani humo, amepigwa risasi zaidi ya sita na watu wasiojulikana na kufa papo hapo.Habari zinaeleza na kubainisha zaidi kuwa Marehemu alikuwa akitokea KIA kwenda BOMA ambako alikuwa ameitwa na watu
(ambao hawakujulikana mara moja) ili wakafanye biashara. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi-Amen.