Kutokana na kusikikia malalamiko mengi kutoka kwa mashabiki, Hemedy ameamua kuwa mpole na kufuata kile watakacho.“Kumekuwa na fight kubwa sana kati ya mimi na director wangu pale ninapokuwa na scene za ofisini nakuwa mbishi sana swala kuvaa hereni sasa nimepata ushauri kutoka kwa mashabiki wangu nimeona nikamshauri director wangu kuepuka kero ambazo hawazipendi mashabiki wangu. Nitakuwa mjinga nisipo wasikiliza mashabiki wangu,” PHD aliiambia Enewz ya EATV.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.