Kwakuwa
aliona kuwa kuna dalili za mimi na yeye kuachana, kwakuwa tayari
mapenzi na yeye nilikuwa sina tena kutoka na yeye kunisaliti kila mara,
alifanya kila njia ili baadae aje kunidhalilisha, alinipiga picha na
kuisave kwenye computer yake na alivyoona siko nae tena, nakumbuka
alinitumia message kwamba utaona.
Sikujua
ana maanisha nini mara nilianza kusikia kwa marafiki zangu kwamba eti
nimekuwa superstar baadae nikagundua kwamba walikuwa wananing'ong'a .
mmoja wa rafiki zangu alinionyesha picha hiyo ya uchi aliyoipost
facebook nilikosa la kuongea nikabaki nalia tu....
PICHA HIYO HAPO CHINI...
ANGALIZO PICHA HII NI YA UCHI SHARITI UWE NA
UMRI WA KUANZIA MIAKA (+18)
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.