PICHA HII IMENASWA MOJA YA VIJIWE VYA
VIJANA MANISPAA YA MOROGORO KAMA INAVYOONEKA, KIJANA AKIWA AMESHUSHA
SURUALI ILI NGUO YA NDANI IWEZE KUONEKANA
VYEMA NA KIURAHISI LAKINI CHA
KUSTAJABISHA NGUO HIYO IMELIWA NA MENDE NA KUACHA PENGO LILILOONYESHA
SEHEMU YA MWILI KATIKA KALIO LA UPANDE WA KULIA, HAIKUWA KAZI RAHISI
KUULIZA SWALI KWA KIJANA HUYO KWANINI AMEVAA NGUO YA NDANI ILIYOTOBOKA
?, BILA SHAKA SWALI HILO ALIPASWA KUULIZWA NA MZAZI WAKE.