Like Us On Facebook

AIBU !!! POMBE YAMFANYA MDADA KUVUA NGUO HADHARANI KWEUPEE HUKO KAHAMA!!!! CHEKI MAPICHA HAPA



MWANAMKE huyu mkaazi wa kahama wiki iliyopita alitoa kali ya mwaka alipofakamia pombe kali almaarufu kwa jina la kiroba,
Chanzo cha habari kiliieleza kwamba dada huyu alifakamia Viroba vya kutosha hatimaye kujikuta akisasambua nguo moja baada ya nyengine kitendo ambacho kilimfanya awe kivutio kikubwa kwa watu waliokwepo katika eneo la tukio muda ule mchana kweupeeee,

Yani wakaazi wa kahama mjini walifurika katika eneo la tukio mkabala na geti la soko la ndizi mjini humo.

ONYO..! UNYWAJI WA POMBE KUPITA KIASI NI HATARI KWA AFYA YAKO,
PICHA HIZI HAPA CHINI TUMEZIFICHA KUTOKANA NA MAADILI YA KIAFRIKA.(+18)



2. (((BOFYA HAPA PICHA 2)))
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari