

Wanafunzi wa shule ya msingi Luganga
kata ya Ilolompya Tarafa ya Pawaga Mkoa wa Iringa, wakiangalia sehemu ya
paa la chumba cha darasa lililo ezuliwa na upepo mkali...

Nyumba ya Mwalimu

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Luganga wakicheza nje ya Darasa lililo ezuliwa

Wanafunzi Shule ya msingi Luganga wakiendelea na Masomo ndani ya Darasa lililo ezuliwa na Upepo mkali ,(Picha na Said Ng'amilo.)