Like Us On Facebook

Jacline Wolper anusurika kufa katika ajali ya gari



Muigizaji wa filamu, Jacqueline Wolper ameponea chupuchupu kupoteza uhai  baada ya gari  lake kugonga ukuta na kubomoa matanki makubwa ya maji ambayo kama yangeangukia gari yake ingekuwa ni story nyingine.
 
Wolper ameshare mkasa huo kwa mashabiki wake wa Instagram na kuweka picha inayoonesha mantenki ya maji yaliyobomoka.
 
“Dah kuzaliwa cku moja na kufa ni cku moja nando maana kila cku nasisitiza upendo na chuki zisizokua na sababu.hvii leo ni bthday yangu lakn nilikua nauvaa ukuta wakat nasogeza gar ioshwe tayar kwa maandaliz .
"Wakat nakanyaga brk kumbe nakanyaga mafuta maskn ya mungu nimebomoa matnk yote nimepasua mabomba yote nimegonga gar nyingne but yote nikumshukuru mungu kwakua sijaumia ila prsh ilishuka kidogo but now npo ok.asante mwenyezi mungu,mungu wa wote,kimbilio la wote na wewe ndo kimbilio langu.niombeeni maskn,” aliandika
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari