Justin Bieber amewapa mashabiki wake (Beliebers) zawadi mbaya kabisa ya Christmas mwaka huu: anastaafu muziki.
Staa
huyo wa Canada ameangusha bombshell hiyo kwenye Twitter na kuvilaumu
vyombo vya habari kwa kuandika uongo kuhusu maisha yake.
Ni ngumu kujua kama kweli amemaanisha lakini kutangaza kwake leo ambapo filamu yake ya Believe imetoka, kutampa publicity ya nguvu.