Like Us On Facebook

INADAIWA WAYNE ROONEY AMEPOTEZA NGUVU ZA KIUME BAADA YA KUPANDIKIZA NYWELE BANDIA KICHWANI....TAZAMA VIDEO YA HABARI HII

Mchezaji nyota wa timu ya Manchester United na England, Wayne Rooney anadaiwa alipoteza nguvu zake za kiume baada ya upandikizaji wa nywele mwaka jana.
Picha ya Wayne Rooney kabla ya kupandikiza nywele na baada ya kupandikiza nywele.



Picha ya Wayne Rooney kabla ya kupandikiza nywele na baada ya kupandikiza nywele
Kituo cha runinga cha KTN cha nchini Kenya, kimedai kuwa Rooney amekuwa akimsumbua doctor wake kumtaka amrudishie pesa zake baada ya kupata madhara ya kupoteza nguvu za kiume kutokana na kupandikizwa nywele bandia kwenye kipara chake,hali iliyopelekea kusababisha mgogoro mkubwa ndani ya familia ya mchezaji huyo.
Tazama hapa video hiyo.

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari