Like Us On Facebook

Watu 10 wafikishwa mahakamani leo kwa kosa la kumuua Dr. Sengondo Mvungi.



Watu kumi wanaodaiwa kumuua Dr. Segondo Mvungi wamefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu na kusomewa shitaka la kumuua Dr. Mvungi.
 
Kesi imesomwa na Hakimu Mkazi Sundi Fimbo ambapo Watuhumiwa hawakutakiwa kujibu chochote kutokana na Mahakama kutokua na uwezo wa kusikiliza kesi ya mauaji hivyo wamerudishwa Segerea mpaka tarehe 5 December   mwaka  huu ...
 
 

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari