Wakati
kukiwa na madai kuwa msanii Baby Madaha anatumia dawa za
kienyeji kuwateka wanaume kimapenzi, mrembo huyo ameibuka na
kusema kuwa siri ya kuwateka wanaume ni utundu wake
kitandani....
Akiongea
na mwandishi wetu, Baby Madaha amedai kuwa tuhuma za kutumia
dawa za kienyeji hata yeye amezisikia tu, lakini wote
wanaomtuhumu hivyo ni kwamba hawamjui yukoje anapokuwa
kitandani...
Alisema
kuwa utundu wake anapokuwa kitandani ndo siri ya kuwateka
wanaume kwani huzingatia sheria na kanuni zote za maandalizi
ya tendo hilo pindi awapo na mteja wake kitandani....
Madaha
aliongeza kuwa hata huyu mkenya aliye naye watu wanasema
kamuwekea dawa.Ukweli ni kwamba yeye hajatumia dawa yoyote bali
karidhika na mapishi yake ya chumbani...
"Situmii
dawa yoyote.Ni ufundi wangu tu ninapokuwa kitandani na
mwanaume. Nayajua mapishi na najua njia zote za kumpagawisha
mwanaume hata awe mgumu kiasi gani"...Alisema baby Madaha