MSHAMBULIAJI
Luis Suarez ameifungia mabao mawili Liverpool katika ushindi wa 4-0
dhidi ya Fulham usiku huu Uwanja wa Anfiled katika mchezo wa Ligi Kuu ya
England.
Suarez
alifunga mabao hayo katika dakika za 36 na 53 baada ya Amorbieta
kujifunga dakika ya 23 na Skrtel kuifungia bao la pili Liverpool dakika
ya (26.
Kikosi
cha Liverpool kilikuwa; Mignolet, Johnson, Skrtel, Agger,
Cissokho/Enrique dk60, Henderson, Gerrard/Allen dk66, Lucas, Coutinho,
Sturridge/Moses dk7 na Suarez.
Fulham;
Stekelenburg: Zverotic5, Senderos, Amorebieta, Richardson, Dejagah,
Sidwell, Parker, Kacaniklic/Ruiz dk46, Berbatov/Karagounis dk83, Kasami.
Gift: Fulham's Fernando Amorebieta deflects ball into hos own net
Agony: Fulham's Maarten Stekelenburg can't hide his frustration
Clinical: Suarez, right, scores the third goal for Liverpool
Sharp shooter: Suarez celebrates scoring their fourth goal
KWA DOMO MOURINHO
MSHAMBULIAJI
Eden Hazard ameinusuru Chelsea kuzama baada ya kuifungia bao tata la
penalti dakika za mwishoni dhidi ya West Brom jioni hii.
Claudio
Yacob aliifungia bao lililoelekea kuwa la ushindi West Brom akitumia
makosa ya kipa Petr Cech baada ya Shane Long kusawazisha kufuatia Samuel
Eto'o kutangulia kuifungia Blues bao la kuongoza.
Kikosi cha Chelsea kilikuwa: Cech, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Ramires, Lampard, Willian, Oscar, Hazard na Eto'o.
West Brom: Myhill, Reid, McAuley, Olsson, Ridgewell, Yacob, Mulumbu, Amalfitano, Sessegnon, Brunt na Long.
Jubilation: Shane Long celebrates West Brom's first goal with Claudio Yacob (right) and Gareth McAuley
Cross words: Branislav Ivanovic and Petr Cech (right) argue after West Brom equalise
Opener: Samuel Eto'o was on target for Chelsea again as he broke the deadlock in the second half
Playmaker: The Blues' Brazilian star Oscar takes a shot at goal
Flashpoint: West Brom's Chris Brunt (left) has stern words with Eden Hazard afte a free-kick
STEPHANE SESSEGNON'S GOAL WAS AT THE END OF A WEST BROM BREAKAWAY - CLICK HERE FOR YOUR ULTIMATE STATS PACKAGE
Tussle: West Brom's Youssouf Mulumbu (left) tries to beat Blues midfielder Ramires to the ball
Love is in the air: Jose Mourinho (left) was reunited with former No 2 Steve Clarke
Respect: Chelsea pensioners join the team in a minute's silence before kick-off for Rememberance