Like Us On Facebook

MASWALI YA LADY JAY DEE KWA YAHAYA YAPATA MAJIBU, SIKILIZA WIMBO WA HARD MARD ALIYOMJIBU LADY JAY DEE

 
Maswali ya Lady Jay Dee kwa Yahaya yamemgusa Hard Mard na kuamua kuyatolea majibu.Hardmard ameachia wimbo alioupa jina ‘Naishi Ghetto’ akiwa amejivika u-Yahaya .
Wimbo huo uliotumia mdundo uleule wa hit ya 'Yahaya', umetayarishwa katika studio za Over Classic jijini Mwanza ambapo ni ndipo yalipo maskani ya Hard Mad hivi sasa.
Haijajulikana bado kama Hard Mad aliongea na Jide ama vipi, endelea kufuatilia hapa.

Isikilize hapa 'Naishi Ghetto'

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari