Jionee mwenyewe hapo ilikuwa juzi usiku
kwenye show yao hapa dar ...dada kwenye picha alipata bahati ya pekee ya
kutukiwa upendo na Peter wa P-square na kupewa jina la
Onyinyee...nakupewa Pete....mmmhh Kazi kweli kweli Nani zaidi hapo kati
ya Lola mke wake na Huyu ...?
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.