Mimi ni msichana wa miaka 24 na nina mpenzi wangu ambaye tunapendana tu, tatizo ni kwamba ninapokutana naye kimwili raundi ya kwanza huwa naenjoy sana
Je wadau hili ni tatizo la kwenda hospitali..?naombeni ushauri wenu ndugu zangu sababu nimekuwa nikipata tabu hii kwa muda mrefu sasa.