Like Us On Facebook

MENGI.."KWA MGAO HUU WA UMEME, NINGEKUWA MIMI NDIYE PROFESA MUHONGO NINGEJIUZULU.."


Reginald Mengi  

Kutoka katika akaunt yake ya twitter Dr Reginal Mengi amemnanga hasimu wake ambaye waliyeingia kwenye mgogoro kutokana na issue ya uwekezaji kwenye vitalu vya gesi, 

Baada ya tanesco kutangaza mgawo wa umeme kwa mikoa iliyo kwenye grid ya taifa, sasa Mengi amnanga kijanja hapa namnukuu Reginald Mengi Mh Muhongo "Niwaambie Watz hakuna mgawo wa umeme na hautakuwepo" SasaTanesco yatangaza mgawo mikoa ya gridi ya taifa. Muungwana angejiuzulu

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari