Jamaa huyo, ambaye alisema kuwa anaitwa Charles Atta, alionekana akiwa hoi huku matiti yakionekana kama ya msichana mdogo.
Mwili
wake ulikuwa umetapaka michanga na matope kutoka kwenye mto huo pembeni
na alipokutwa, inaaminika jamaa huyo alianguka toka kwenye ungo akiwa
kwenye safari zake.
Ndugu
wawili ambao ni mtu na kaka yake Liberty Obeng na Innocent Obeng,
walisema kuwa walisikia sauti ya ya mtu wasiyemfhamu akilia kutaka
msaada.
Kwa
mujibu wake, anasema yeye na wenzake walikuwa wanapaa kwenye usawa wa
Kanisa ambao unalindwa na Malaika usiku kucha na ndipo alipojikuta
ameanguka kwenye eneo hilo la Shule ya Kimataifa ya Watumishi wa
Wafalme.