Kazi kweli kweli ..Mwanamuzi Lil Kim
mwenye Miaka 39 akiwa anaimba Jukwanii akiwa amevaa kivazi kilichomchora
ambacho kilileta sinto fahamu ikichukulia na umri wake wa sasa....hii
ilikuwa ijumaa pale london kwenye Show ya 02
Add caption
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.