August 2013 ndio Snura aliishusha single yake ya
‘nimevurugwa’ kwenye radio za bongo ikiwa ni miongoni mwa single
zinazopata airtime bila kuwa na video lakini leo November 22 2013
kaishusha video on AyoTV… itazame hapa chini na uache maoni yako mtu
wangu, atapita hapa baada ya saa 6.
Snura alisema kwenye video ya ‘majanga’ hakuweza kucheza kama
inavyotakiwa lakini huku kwenye ‘nimevurugwa’ ndio kajiachia
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.