Wote tulikuwa wanafunzi na kukasema tujitahidi katika masomo yetu ili baadae tuje kuwa na familia nzuri, alikuwa anakuja nyumbani muda wowote anaotaka..
Pale nyumbani nakaa mimi na Baba pamoja na wadogo zangu wawili, hivi majuzi nilimpeleka mdogo wangu mdogo kwa shangazi yangu..wakati narudi sikuwa taarifu nyumbani na nilipoingia ndani nikamkuta Mpenzi wangu yupo kitandani na Baba yangu mzazi,,,Nilishtuka sana na hapa nilipo nimechanganikiwa kabisa sijui nifanyaje
USHAURI JAMANI WADAU, NIPO MATATANI SASA...