Like Us On Facebook

VIDEO:MCHEKI JAMAA ANAVYOPIGILIA MISUMARI KWA KUTUMIA KICHWA CHAKE NA KUWEKWA KATIKA RECORD...

                     Huyu ni jamaa hatari kabisa aliyefanikiwa kuwekwa katika record za Dunia yaani Guinness World Records. kwa kupigilia misumari katika Mbao kwa kutumia Kichwa chake. Hili ni jambo la kushangaza sana na nilipata mda wa kujiuliza maswali mengi sana, ni kutaka sifa za kuingizwa katika Record za dunia au? ila sikupata jibu.......................????

Da! mcheki jamaa huyu alivyo jasiri
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari