Utata umeendelea kuibuka kuhusu picha zinazosadikiwa ni za hivi karibuni zikimwonesha Wema Sepetu na Nasib Abdul "Diamond Platnumz" katika nyakati tofauti kwenye nchi moja huko Asia wakiwa kimahaba CHUMBANI
Picha hizi zimehusishwa na usaliti wa Diamond kwa mpenziwe wa sasa aitwaye Penny, na gazeti moja la udaku lilichapisha habari kuwa wawili hao hawapo katika hali nzuri baada ya Diamond kurudiana na aliyekuwa mpenzi wake, Wema.
Wakati Wema akiripotiwa kuwa alikuwa China kwa ajili ya sherehe za kumbukumbu ya sikukuu yake ya kuzaliwa, Diamond aliripotiwa kipindi hicho hicho akiwa Malaysia kwa ajili ya shughuli zake za kutumbuiza na burudani.
Baada ya picha hizi kuvuja,Diamond amefunguka na kujitetea kuwa eti walikuwa wana shoot movie yao mpya, lakini
hembu tutumie macho kwa kufananisha hizi picha ili tuupate ukweli.
Angalia picha ya juu hair style ya
Diamond na mawani aliyovaa. Picha ya juu alipiga Diamond akiwa dukani
huko Malaysia na picha ya chini ni moja ya picha zilizovuja
Angalia tena picha ya juu hair style ya
Wema pamoja na hand bag yake, then angalia picha ya chini hair style ya
Wema pamoja na begi lake. Picha ya juu ni moja kati ya zilizovuja na ya
chini alipost Wema akiwa bara la Asia lakini ilisemaka yupo Hongkong
Angalia simu aliyotumia Wema kupiga hizi picha hapo chini na juu, picha ya chini nayo imevuja