Angalia baadhi ya picha jinsi moto ulivyowaka Serengeti Fiesta Dar es salaam Jana katika Viwanja vya Leaders
Linah akikatika sambamba na Amin ndani ya Serengeti Fiesta 2013.
Rachel akilishambulia jukwaa la Fiesta 2013.
Peter Msechu akifanya vitu vyake stejini.
Snura 'Mamaa Majanga' akionyesha mbwembwe zake jukwaani.
Mwanadada Ray C akiwapa raha mashabiki wa Fiesta 2013 waliokuwa 'wamemmis' kwa muda mrefu.
Msanii Linah akifanya yake jukwaani.
Umati wa watu ukifuatilia shoo ya Fiesta 2013.
Mwanadada akitoa burudani kwa maelfu ya mashabiki waliohudhuria Tamasha la Serengeti Fiesta 2013 ndani ya Leaders Club.
Msanii Menina akinyanyuliwa juu na wacheza shoo wake.
Wasanii mbalimbali wakiupamba usiku wa Serengeti Fiesta ndani ya Viwanja vya Leaders.