Like Us On Facebook

PICHA: NDEGE ILIYOBEBA MWILI WA MAREHEMU YAPATA AJALI NA WATU ZAIDI YA KUMI WAPOTEZA MAISHA

            Ndege iliyokuwa imebeba mwili wa marehemu ambaye alikuwa gavana wa Nigeria, imepata ajali na baadhi ya abiria kufariki na wengine kukimbizwa hospitali. Baadhi ya abiria hao walikuwa wanasindikiza mwili huo kwa ajili ya maziko lakini safari iliingia hitirafu.Ajali hiyo ilitokea baada ya injini kufeli ndege ikiwa hewani muda mfupi baada ya kupaa kwenye airport moja huko Nigeria. Ndege ilikuwa na watu 20 na watu watano ndiyo wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitali 


TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari