Ni msanii mwingine wa kinigeria ambaye kaamua kujitafutia umaruufu kwa staili ya kutovaa nguo za ndani....
Kwa mujibu wa mitandao ya kinigeria, msanii huyu ambaye ni underground anaripotiwa kunywa pombe kupita kiasi kabla ya show kuanza , hali iliyomfanya asijitambue na kuona kila kitu ni kizuri mbele ya macho yake.
Baada ya show kuanza, mrembo alipanda jukwaani kama kawaida huku akiwa na kivazi kinachoziba makalio yake kwa juu tu.Ndani hakuwa na kitu.Mziki ulipokolea, kila kitu kilianikwa hadharani.
<<BOFYA HAPA KUONA PICHA HIZO>>