“Kumekuwa na kawaida ya watu kuongea na kuhukumu wenzao bila
ya kujua wanachokiongelea pengine!! kwa upeo wangu mdogo nafahamu sisi
wote ni binadamu na tunamtegemea mtu mmoja MWENYEZI MUNGU…lakini cha
kushangaza kuwa watu wako busy kuhukumu wenzao kuliko hata huyo mwenye
cheo chake, hivi Mungu angetaka kufanya kama wanadamu tunavyofanya
tungeangaliana kweli? nadhani umefika wakati wa kumuachia mwenye
majukumu yake kufanya kazi…tuache kujipa u busy usio wa lazma….!!!ONLY
GOD CAN JUDGE ME….Gud nyt fam”