Like Us On Facebook

JAHAZI LATEKETEA KWA MOTO KATIKA BAHARI YA HINDI NA KUUA WAVUVI 11

             Jahazi inayosadikiwa ni ya wavuvi iliyokuwa na takribani watu 11 imeteketea kwa moto katika bahari ya Hindi eneo la Mtukule  leo  asubuhi.
 


 Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam  limethibitisha kuokolewa kwa wavuvi wote 11 ambao Jahazi lao liliwaka moto katika eneo la Nyakatome. 

-ITV
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari