Like Us On Facebook

HIVI JAMANI MWANAMKE AKISEMA AMECHOKA WAKATI WA MAJAMBOZI INAMAANISHA AMESHAFIKA KILELENI AU INAKUAJE?



Amani iwe nanyi!!
Nimekua nikijiuliza sana hilo swali (refer heading) Mwenzenu nimekua nikikutana na haya Majanga ya kuambiwa "nimechoka"
Staki kuoneka malaya hapa! Nimekutana na ke wawili tu! (sio kwa pamoja) hapa naongelea zaidi huyo wapili! Mara nyingi karibia zote huniambia amechoka katikati ya gemu, hata kama sijamalizia shoka (bao) hata moja! Huyu mtu (ke) ni mchangamfu sana, ila tukiwa kwa bedi ujanja wote humtoka, yaani anakua gogo, Gogo la Mkadi! Kiasi kwamba hata kujishikilia mwenyewe tu hawezi! Hiyo shoka moja nikiipata hatoi tena! Labda baada ya wiki tatu!
Nina lengo zuri tu dhidi yake! Ila nahisi sasa mawazo yangu yamebadilika! (namtumia kwa kupunguza ge.nye tu)
Naweza sema hisia zangu zimeondoka kwake na kuangukia kwa mwengine 
Naomba nieleweshwe hapo kwenye kuchoka, jee ni kweli hua kashafika kileleni? Au anaogopa tu? Na aogope nini Gegedo langu lipo normal tu!
Wadada mutanijibu vizuri zaidi hapa! Na hata mkaka waweza kusema lolote hapa!
    
WE ARE NOT THE SAME!!!!
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari