Baba wa msanii MacMalick katikati akihojiwa
Baba wa marehemu MacMalick ambaye alikuwa msanii wa kundi la Wateule,
Mzee Said Mohamed amesema kuwa matumizi ya madawa ya kulevya ni janga la
Taifa.Mzee huyo alisema kuwa kipindi ambacho mtoto wake anatumia madawa
ya kulevya hakujua mapema.Na pale alipokuja kugundua anasema kuwa
ilikuwa ni 'too late'.
Mzee huyo alisema kuwa madawa ya kulevya ni vita ya jamii nzima na si
kuilaumu Serikali, “watu wanapenda kupata pesa za haraka,na pia watu
wanapenda kuwalaumu wazazi kuchangia kwenye madawa ya kulevya kwa
kuwadekeza watoto lakini si kweli”, alisema Mzee
Baba alieleza kuwa kama mzazi hakufurahia hali hiyo na alitumia sehemu
ya pato lake kumhudumia na kumsaidia hadi pale Mwenyezi Mungu
alipomchukua...
Msikilize hapa chini...
Msikilize hapa chini...