Msanii aliyekuwa akiunda kundi la Daz Nundaz amesema kuwa mashabiki waache kusikiliza maneno ya mtaani umbea kuwa yeye kawa kichaa na kuwa anatumia madawa ya kulevya.
Daz Baba alisema kuwa hatumii madawa ya
kulevya na wala si kichaa kama watu wanavyosema,”kichaa hawezi
kwenda shule, lakini labda wakati wengine ninavyoongea watu wanaona
nimedata kwasababu kiukweli machizi wangu wanafariki kwahiyo wakati
mwingine nadata”, Daz..
Aliongeza kuwa mashabiki wake wakae
tayari kusikia kazi zake mpya, “Peace and Love”,Daz Baba..MSIKILIZE HAPO CHINI..