Like Us On Facebook

AVRIL AOMBA MSAMAHA KWA KUPIGA PICHA NA MUME WA MTU ..BAADA YA PICHA KULETA MANENO MENGI ONLINE..

               Picha ambayo aliiweka Avril Mtandaoni akiwa amepiga na mtangazaji wa Radio ya Q FM Rashid Abdalah ambaye ni mume wa Lulu Hassan Mtangazaji wa Citizen TV ilileta Utata Baada ya Mashabiki wake kuanza kusema hao wawili wana Uhusiano wa tofauti na kazi...


Avril Ameamua kuandika haya hapa chini kuweka mambo sawa na kuondoa minong'ono hiyo:
“Let me put things straight, I have a working relationshp wth Rashid. I was at AM Live and Rynoh called me for an interview before taking me to the Q FM studios after which we took a few photos.


“I am not seeing any man; I am not dating or having side plates whatsoever. Sorry for the damage the story has brought to my fans and Rashid.”
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari