Like Us On Facebook

WEMA SEPETU, KAJALA, TID, SHETTA NA DULLY SYKES WANASWA VIWANJA WAKIBANJUKA



IMG_4546

 Wema Sepetu

IMG_4346
Watuache kwa raha zetu mziki umekolea…..Mdau Emma na The Big Boss wakisakata rhumba.

IMG_4347

Rappa Joniko Flower akiwakimbiza mashabiki wa Skylight Band na Style ya Mukanda wa chuma chuma…..!

IMG_4352

Shabiki wa Skylight Band akionyesha manjonjo yake jukwaani…..Palinoga ni balaaa.

IMG_4354

Hapo sasa twende kazi…marafiki wakimshangilia rafiki yao jukwaani.

IMG_4404

Diva Aneth Kushaba AK47 akikonga nyoyo za mashabiki wa Skylight Band.

IMG_4374

Binti mwenye kipaji cha aina yake Mary Lucos akitoa burudani huku akisindikizwa na mwimbaji mwenzake Digna.

IMG_4421

Superstar Dully Sykes a.k.a Mr. Misifa na mrembo wa kizungu pamoja na JEMBE wakishow love mbele ya camera yetu.

IMG_4412

Maimatha wa Jesse akishow love na marafiki alipotinga kwenye kiota cha Thai Village kuanza week end yake na burudani za Skylight Band.

IMG_4425

William Malecela a.k.a LEMUTUZ akishow love na mdau Alois Ngonyani na marafiki ndani ya kiota cha Thai Village.

IMG_4370

Aneth Kushaba AK47 na Mary Lucos wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band.

IMG_4427

Burudani ikiendele Sam Mapenzi  a.k.a sukari ya warembo akifanya yake jukwaani.

IMG_4433

Sam Mapenzi akicheza sambamba na mashabiki wa Skylight Band….. palikuwa hapatoshi.

IMG_4447

Utamu ulipokolea wengine walipiga nduru, wengine walishika vichwa…….Hapana chezea Skylight Band.

IMG_4452

Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa Bongo alishika atamu kuwarusha mashabiki wa Skylight Band.

IMG_4456

Wema Sepetu akiwasili kiota cha Thai Village na kuwasabahi vijana wa Skylight Band kuonyesha kuwakubali kwa burudani yao.

IMG_4460

Furaha na tabasamu bashasha vilitawala usoni kwa mwanadada Wema Sepetu.

IMG_4466

Wema Sepetu hakuja peke yake aliambatana na swahiba wake mkubwa Kajala.

IMG_4471

IMG_4484

Kila mtu alijinafasi kwa style ya aina yake…..wenye kupinda mgongo haya kwa raha zao.

IMG_4494

Wema Sepetu akifurahi jambo na mashabiki wake ndani ya kiota cha Thai Village kilichopo Masaki jijini Dar.

IMG_4498

Mduara ulihusika kama kawaida.

IMG_4504

IMG_4507

Wema Sepetu na Kajala wakibadilishana mawazo huku burudani ya Skylight Band ikiendelea.

IMG_4546

Pichani juu na chini ni Wema Sepetu akimpagawisha Sam Mapenzi wa Skylight Band 

IMG_4552

Sam Mapenzi akimwimbia Wema Sepetu ndani kiota cha Thai Village kilichopo Masaki jijini Dar Juma lililopita.

IMG_4555

Petit Man naye hakukubali kulishindwa akamuonyesha Wema ufundi wake kwa kusakata Sebene la Skylight Band.

IMG_4473

Ukumbi ulilipuka ni nomaaa kama inavyoonekana pichani.

IMG_4477

Wadau wa Skylight Band bila kukosa wakiwakilisha Kijitonyama.

IMG_4478

Wadau wa ukweli wenye mapenzi na Skylight Band camera yetu uliwamulika.

IMG_4482

Wasanii wa Bongo Flava kutoka kushoto ni Shetta, TID pamoja na Dully Sykes nao walikuja kula bata na Band ya vijana, wakubwa kwa watoto yenywe Swaggaz za ukweeeh Skylight Band.

IMG_4539

Wema Sepetu na William Malecela a.k.a LEMUTUZ wakishow love.

IMG_4535

Benny Kinyaiya, William Malecela na Wema Sepetu.

IMG_4542

Divas wa Skylight Band kutoka kushoto ni Aneth Kushaba AK47, Digna pamoja na Mary Lucos wakishow love.

IMG_4454

Mdau Cathbert Kajuna wa Kajuna Blog naye alikuwepo.

IMG_4519
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari