Like Us On Facebook

MSANII TIWA SAVAGE AJIKUTA AKIANIKA NYETI ZAKE BILA YA YEYE KUJUA NI BAADA YA KUTOVAA NGUO ZA NDANI



             Msanii  huyu   toka  Nigeria amejikuta  akiambulia  aibu  baada  ya  nyeti  zake  kuanikwa  hadharani  wakati  akitumbuiza  jukwaani...

Tiwa  alikuwa  akitumbuiza  jukwaani huku  akiwa  na  kisiketi  kifupi ambacho  kilianika  kila  kitu  kwa  kuwa  ndani  hakuvaa  KUFULI...

Kilichomstua  ni  baada  ya kuona  watu  wako  bize  na  simu  zao  wakipiga  picha  hasa  eneo  la  chini  alipokuwa  amesimama  juu ya  jukwaa...

Hali  hiyo  ilimfanya  akatishe  show  kwa  muda ili  kupata  muda  wa  kujiweka  vizuri
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari