Mama mmoja amejikuta akiambulia AIBU ya mwaka baada ya NZI kujazana katika makalio yake..
Mama huyo ambaye mwandishi wetu hakuweza kumtambua jina, alikumbwa na aibu hiyo hivi karibuni wakati akikatiza mitaa kuelekea sokoni....Haikuweza kufahamika mara moja kuhusu chanzo cha NZI hao kujazana katika makalio yake