Kipa wa Ruvu Shooting, Abdul Seif akiwa amevaa bukta yake staili ya Kata K katika mechi ya jana ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Yanga SC, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kipa huyo chipukizi alidaka vizuri na kutunguliwa mara moja tu, timu yake ikilala 1-0 mbele ya mabingwa hao wa Ligi Kuu.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.