Like Us On Facebook

KAMA ULIKUWA UNASEMA PANYA HALIWI ULIKUWA UNAJIDANGANYA CHEKI HII JINSI PANYA ANAVYOANDALIWA MPAKA KUWA KITOWEO KAMILI

 Katka hatua hii unaona jinsi panya anavyoandalia katika hali nzuri ya usafi tayari kwa kukatwa katwa
 hapa muandaaji anahakikisha yale manyoya manyoya yameisha ili yasimbughudhi mlaji wa kitoweo hiki
 hapa waandaaji wanakagua kama kuna kitu kimebaki ili waanze kuwa kata kata
 waandaaji wakikatakata panya katika vipande vipande tayari kw kurostiwa
 hapa akikaangwa aada ya kukatwa katwa
 katika hatua hii unaweza kula kama unasupu kwa pembeni
 Huwezi amini kama huyu ni panya maana katika hali hii amekaushwa tayari kwa kuliwa
 hatua za mwisho katika uandaaji wa meza tayari kwa kula
Watu wengi wamekuwa na ile mila kwamba panya huwa haliwi lakini kuna baadhi ya makabil hutumia hii kitu kama kitoweo ki ukweli ni watamu sana hawa akiandaliwa vizuri kama ambavyo unaona hapa tuondoe ile dhana potofu kwamba viumbe vingine haviliwi
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari