KLABU ya Manchester United imefungwa kwa mara ya kwanza na West Brom Uwanja wa Old Trafford tangu 1978 baada ya kulala 2-1 jioni hii.
Mabao ya Morgan Amalfitano dakika ya 54 na Saido Berahino dakika ya 67 wa WBA na Wayne Rooney wa United dakika ya 57 yalitosha kutengeneza matokeo ya leo.
Kikosi cha United kilikuwa: De Gea, Jones, Ferdinand, Evans, Buttner, Nani, Carrick, Anderson/Fellaini dk67, Kagawa/Januzaj dk46, Rooney, Hernandez/Van Persiedk 58.
West Brom: Myhill, Jones, McAuley, Olsson, Ridgewell, Yacob, Mulumbu, Amalfitano, Sessegnon/Rosenberg dk90, Sinclair/Berahino dk13, Anichebe/Lugano.

Dogo hatari: Saido Berahino akishangilia baada ya kuifungia West Brom bao la pili dhidi ya Manchester United

Shocker: West Brom run off to celebrate with Berahino after his 67th -minute winner

Can't believe it: Rooney looks on with shock as United drop out of the top ten in the Premier League

Toppled: Manchester United's players including goalkeeper David De Gea stand dejected

Shock: Morgan Amalfitano celebrates scoring West Brom's opener at Old Trafford

Off the band: Wayne Rooney rises above the West Brom defence to aim a header at goal

Tussle: United's Nani (left) attempts to hold off the challenge of West Brom defender Liam Ridgewell

In action: United playmaker Shinji Kagawa (left) tries to get past Gareth McAuley

Strike a pose: Anderson twists his body to have a shot at goal

Forward men: Rooney celebrates his equaliser with Javier 'Chicharito' Hernandez and Alex Buttner

Warrior: Baggies defender Jonas Olsson (centre) kneels as he is treated for a head injury

Guess who? Marouane Fellaini can't watch from the substitutes bench at Old Trafford
PANDE ZA MOURINHO
-BAO la Nahodha John Terry dakika ya 65 limeinusuru Chelsea kulala mbele ya Tottenham baada ya sare ya 1-1.
Timu zote zinafundishwa na makocha Wareno, Andre Villas-Boas wa Spurs na Jose Mourinho wa Chelsea.
Tottenham ilitawaa kipindi cha kwanza na kupata bao la kuongoza kupitia kwa Gylfi Sigurdsson dakika ya 20.
Kikosi cha Spurs kilikuwa: Lloris, Walker, Dawson, Vertonghen, Naughton, Paulinho, Dembele, Townsend/Chadli dk62, Eriksen/Holtby dk69, Sigurdsson, Soldado/Defoe dk76.
Chelsea: Cech, Ivanovic, Luiz, Terry, Cole, Mikel/Mata dk46, Lampard, Ramires, Oscar/Azpilicueta dk82, Hazard/Schurrle dk69, Torres.

La kusawazisha: John Terry ishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kusawazisha

Kichwa: Terry akipiga kichwa kuunganisha mpira wa adhabu wa Juan Mata

La kwanza: Gylfi Sigurdsson akiteleza kufunga bao la kuongoza la Tottenham

Mtu muhimu: Sigurdsson akiondoka kushangilia baada ya kufunga Uwanja wa White Hart Lane

Sigurdsson akishangilia mbele ya mashabiki na wenzake

Ubabe: Fernando Torres akionyeshana ubabe na Jan Vertonghen, kabla ya Mspanyola huyo kutolewa nje kwa kadi nyekundu


Nyekundu ya Torres, nje

Ndiyo mpira: Kocha wa Tottenham, Andre Villas Boas (kulia) akielekea kumsalimia kocha wa Chelsea, Jose Mourinho



Andros Townsend akipasua katikati ya Ashley Cole (kushoto) na Oscar