AKIONGEA NA MTANDAO HUU WA THE CHOICE RAYUU KASEMA TATOO HIYO ILIYO CHORWA KUZUNGUKA KIUNO KIZIMA IMEMGHARIMU KIASI CHA TSH.LAKI TATU NA ZAIDI.NI TOFAUTI NA TATOO ZINGINE KAMA YA SHINGONI NA KWENYE BEGA AMBAZO ZOTE NI CHINI YA HIYO BEI
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.