
Wiki Iliyopita Amber alionyesha picha iliyoshangaza wengi baada ya kuona Tatto ya msalaba kwenye paji lake la uso, Msalaba huo unaonekana ukiwa umechorwa tofauti, JuU ni Chini na chini pamekuwa juu.
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI....Mashabiki wa Amber walikuwa mstari wa mbele kwenye kuliza maswali kuhusu mchoro huo bila kupata majibu wala maelezo kutoka kwa Amber ambaye ni mama mtoto wa Rapper Wiz Khalifa.

