Ikiwa ni siku chache baada ya mwnamke mmoja mkazi wa kahama kubabwa na kutobolewa macho huku akichomekwa kisu sehemu zake za siri, mitandao ya kinigeria nayo imeripoti unyama kama huo.....
Kwa mujibu ya mitandao hiyo, unyama huo unadaiwa kutendwa kwa binti wa miaka 23 ambaye alibakwa na kundi la wanaume na kisha kumchomeka miti sehemu za siri na kumtoboa macho....