Wavuvi wa Ujerumani wamefanikiwa kuvua samaki kubwa ambaye anaweza kuwekwa kwenye rekodi ya dunia kama moja ya samaki wakubwa sana kuwahi kuvuliwa.
Samaki waengine waliowahi kuvuliwa na kuweka rekodi ya dunia walikuwa na uzito wa kilo 108, kilo 190, kilo 211 na wengine.
Samaki huyu amevuliwa na kilo kilo 233.5 na urefu wa mita 2.63, wavuvi hao wanasema ilikuwa ni battle ya zaidi ya dakika 90 ili kumvua huyo samaki.Kiongozi wao anasema walidhani ndoano yao imenasa kwenye manowari kwasababu ilikuwa ngumu kuivuta.