Mchungaji huyo aliwadanganya waumini wake kuwa roho mtakatifu alikuwa anaingia kwenye uume wake na kutoka kwa njia ya maziwa yenye upako.
Kwa mujibu wa mmoja wa waumini wa kanisa lake, mchungaji huyo alikuwa akiwahuburia kuwa Mungu angeingia kwa watu kupitia midomo yao.
“Alikuwa akitupeleka nyuma ya kanisa na kutuambia tumnyonye mpaka pale Roho Mtakatifu atakapotoka kwa njia ya ‘ejaculation’ (kufika kileleni).
Mchungaji huyo ambaye yupo jela alidai kuwa na mpango wa kuwapa maziwa hayo ya baraka