Like Us On Facebook

DIVA LOVENESS" SIKU NIKIFA KUNA WATAKAO FURAHIA NA WATAO LIA SANA, NITAWAMISS MASHABIKI WANGU"



Hiki ndicho alichokiandika Diva Intragram:
‘Kuna Siku Nitakufa na Wala sitoamka. Sitainuka…. Nitaanguka Nitakwenda. Ntawamiss Ndugu Zangu, Ntawamisi Mashabiki wangu. Ntam miss Babu yangu Tanga. Ntamiss vitu Vingi. Safari yangu itafika and The rest will be such a history. Kuna watu watakuwa wana haraka sana ya kuandika RIP DIVA. Kuna watakaofurahi na kuna wataolia sana. Sitaki Ku imagine how my lil sisters watakavyokuwa. Sitaki Ku imagine any of that. Sitaki Ku imagine sehemu ntayozikiwa Ila Tanga Is My home. ntafurahi nikizikwa karibu na Kaburi ya Bibi yangu. i love her . i wanna Be close to her. life is top short that no one knows what we really fighting inside. Wakati Umelala mie Siku zote huwa nawaza. Nawaza Siku ya Kifo Changu’.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari