AJABU NA INASTAJABISHA:Mchangamle kizimkazi,walikusanyika na kumshanga
samakihuyu wa ajabu ambae wavuvi na wakazi wa maeneo hayo hawakuwahi
kumwona,maana samaki huyu aelewiki ni CHUI, DUMA au ni nini.Nikaona
nisistajabike mwenyewe nikuweke hapa wewe mpitiajiwa This is diamond
upate kujua yanayoendelea Dunia. kwangu mimi ni ajabu sijawahi kuona
kiumbe kama hicho.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.