Kutokana na matatizo ya kifamilia ikiwamo misiba ilinilazimu nije na familia yangu yote mosi kuhani misiba na pili ni kutumia fursa hiyo kutambulishana kifamilia kwani ni kitambo hatujaonana lakini kinachonishangaza ni kuwa toka nifike hapa nyumbani (itumba) nimekuwa nikipokea shtuma toka kwa majiran kuwa kitendo anachowafanyia mke wangu kuwakagua watoto wetu si cha kiubinadam ikizingatiwa watoto ni wakubwa na wamekwisha vunja ungo ingawaje nimepata taarifa hivi punde kuwa kati yao mmoja wao si salama kwani kipimo kinaonyesha 'kimepitiliza'
Nina mwezi mmoja tu wa kuwepo hapa na kama si bahati mbaya basi huenda nikapoteza kabisa sifa ya mabinti zangu kwani pande king mswati wamekuwa lulu, nimejenga nyumba nimenunua gari na sasa nategemea kusomesha watoto wa dadaangu marehemu na hilo litafanikiwa tu nikirudi na familia yangu salama pande zile za MPAKA swaz kwani tz ya sasa si ya kipindi kile majungu umbea vijana wamekalia vijiwe tu kupiga domo.
Ushauri wangu kwenu na hasa nyie vijana waleeni watoto wenu katika mfumo huo wa 'kaunta attack' kwani dunia ya sasa imearibika.
UMKIMTUNZA VYEMA ATAKUTUNZA VYEMA