

Yule
 bint wa mwanamuziki maarufu nchini Jeska Kikumbi King Kikii ameendelea 
kujidhalilisha pamoja na kuidhalilisha familia yake baada ya kurusha 
hewani tena picha zingine mpya zikimuonesha akiwa mtupu tena mtoni huko 
Kijijini Mwanza.
Xdeejayz
 kama kawaida yake imefanikiwa kunasa picha hizo toka kwenye accont ya 
Facebook ya Jeska ambapo alikuwa ameziachia yeye mwenyewe na kuchukulia 
kawaida sana.
Hata
 hivyo kwa mujibu wa chanzo chetu picha hizo ambazo kama zinavyooneka 
wamepiga kwa hiyari wao wenyewe wala si kulazimishwa au kupigwa bila 
kujitambua la hasha na walidhamilia kufanya hivyo.
Jeska
 ambae kwenye Account yake ya Facebook anatumia jina la King Kikii Dota 
alizimwaga picha hizo ili zisambae makusudi" Hata hivyo hali halisi 
wananchi wanaonekana kushangazwa na tukio hilo huku watoto wadogo nao 
wakishuhudia video hiyo ya bure
Mtandao
 huu ulifanya jitahada za kumtafuta msichana huyo kupitia simu yake ya 
kiganjani lakini hakuweza kupatikana hadi habari hii inaruka hewani. 
Xdeejayz
 kushirikiana na watanzania wanaoitakia mema nchi tuna lani vikali 
vitendo vya kuidhalilishaji vinavyofanywa na wasichana hao tena kwa 
makusudi na tunasisitiza sisi kama chombo cha habari kuwa hali hiyo 
haikubariki na inapaswa kupingwa kwa nguvu zote.
TAARIFA:
 Blog hii haihusiki na kupiga picha za wahusika wote wanaoripotiwa humu 
na mara nyingi picha hizi husambazwa na wahusika wenyewe hivyo tunaomba 
jamii na wasomaji wetu watuelewe hivyo kuwa Xdeejayz haiko kwa ajili ya 
kudhalilisha binadamu la hasha basi bali tunathubutu kutoa habari hizi na
 picha za ushahidi ili kuonesha tunapinga vitendo hivyo na wanaoruhusiwa
 kutizama blog hii ni wale walizidi miaka kumi na nane tu. 
SOURCE:XDJAYZ 


 
 
 
 
 
 
