Like Us On Facebook

PICHA YA KICH*PI YA KAJALA YAZUA GUMZO KWA MASHABIKI ZAKE

Picha ya nusu utupu ya Msanii Kajala Masanja aliyoiweka hivi karibuni katika mitandao ya kijamii yazua utata na maneno mengi yakiibuka juu yake, akiongea na Swahilitz mmoja wa mashabiki wa Kajala alifunguka na kusema "Kusema ukweli Kajala kajishushia heshima, ndiyo picha gani
aliyoweka mtandaoni, mimi kiukweli nampenda sana ila kwa hilo kaniboa" alimaliza kwakusema shabiki huyo.



 Hata hivyo katika kufatilia suala hilo Tulipiga story na shabiki mwingine ambaye naye alisema "Kajala sijui anatafuta soko la wanaume?? hii siyo picha kabisa ya kuweka mtandaoni jamani" alifunguka shabiki huyo.
Juhudi zetu za kumtafuta Kajala afunguke juu ya hili suala zinaendelea na pindi zikikamilia tutawafahamisha kasemaje.

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari