

Joka kubwa aina ya chatu la kutwa limekufa ndani ya bonneti ya gari ndogo, joka hilo lilikufa ndani ya boneti kwasababu ya kuungua kutokana na joto kali la engine.,,kuweni makini mnapo fungua bonet za magari unaweza kuta hajafa akakugonga..
Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kila siku
KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari