Like Us On Facebook

NAPIGA NYETO KWA SIKU MARA 3 HADI 4 NA NATAMANI KUACHA ILA NASHINDWA,NAOMBENI USHAURI JAMANI



Rafiki yangu alinifundisha kujichua ( kupiga pul) , sasa nimeathirika na tatizo hilo nikiwa na umri wa miaka 20 tu. 

Nimeshafanya tendo hilo kwa muda mrefu.Kwa siku huwa napiga tatu mpaka 4  kiasi  kwamba  haata  viungo  vyangu  vimechubuka. 

Nataka kuachana  na tatizo hili. Naomba mnisaidie ikiwa kuna dawa ya kupambana na tatizo hilo maana nimechoka na sihitaji kabisa kuendelea na tabia hiyo.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari