Awali gazeti lenye heshima tele mbele ya jamii, Ijumaa lilipokea waraka pepe kutoka kwa msomaji mmoja mkoani Morogoro ambaye alisema, anazo picha chafu za binti huyo zinazosambazwa kwa kasi ya moto wa petroli kwenye mtandao wa intaneti. Waraka pepe uliotumwa kwenye anuani pepe ya Ijumaa ilisomeka:
“Hello Ijumaa, ninazo picha za Tuma. Yupo mtupu, amelala kitandani, kama mnahitaji hiyo habari, nipeni pesa niwape mchongo mzima.”
Kwa kutambua umuhimu wa habari hiyo, haraka, gazeti hili lilijibu waraka pepe wa ‘sosi’ huyo na baada ya makubaliano, alituma picha za mapozi tofauti za mrembo huyo (kama zinavyoonekana ukurasa wa mbele) na maelezo kwa ufupi. Chanzo hicho, kilieleza kwamba, picha hizo zinadaiwa kupigwa katika hoteli moja yenye jina kubwa jijini Tanga, ingawa haikujulikana ni nani aliyempiga na alikuwa na nia gani.
Alidai kwamba, kwa sasa picha hizo siyo stori tena Morogoro, kwasababu zimezagaa kila kona ya ‘Mji Kasoro Bahari’. 
“Huku
 hakufai, mchezo aliofanyiwa ni mchafu na Tuma anahaha kila kona, 
amefedheheka sana, anaogopa kuchafua familia yake,” kiliendelea kupasha 
chanzo hicho.
Katika
 picha hizo, zipo zinazomwonesha binti huyo mrembo akiwa amepozi 
mwenyewe kitandani na kanga moja, wakati nyingine zikimwonyesha amelala 
mtupu, uso wake ukipambwa na tabasamu mwanana, tukio linaloashiria 
kwamba alikuwa akitoa ushirikiano wa kutosha wakati zoezi la kupigwa 
picha hizo lilipofanyika. 
Aidha, ipo picha inayomwonesha binti huyo akiwa analia, huku sababu za kilio chake akiwa anazijua mwenyewe.
Hakuna
 maelezo ya kutosha juu ya picha hizo ila Timu ya Ijumaa inaingia 
mzigoni ili kubaini upande wa pili kisha tutawaletea mwendelezo wake.
KUTOKA KWA MHARIRI
Kwa
 muda mrefu sasa, magazeti pendwa yamekuwa yakiripoti habari zinazohusu 
wasichana kupiga picha za utupu kwa lengo la kukemea tabia hiyo, lakini 
bado sikio la kufa halisikii dawa kwani ndiyo kwanza wamecharuka. 
Kwetu sisi, kupiga picha chafu si tabia njema na inaharibu maadili ya jamii nzima ambayo kimsingi si utamaduni wetu.
Tunarudia
 tena na tena kutoa angalizo letu kwa mabinti kuwa makini na wapenzi 
wao, wasikubali kupigwa picha chafu wanapokuwa nao faragha, kwani 
inaweza kuharibu.
LAST WARNING... 
HABARI HII NI REPOSTED KAMA TITLE INAVYOONESHA..JUST IN CASE HUKUBATIKA KUONA UFIRAUNI HUU.. 



 
 
 
 
 
 
